{% load static %}
EnglishThe unity in the department has made English a subject of choice. No single member works in isolation, members consult each other before teaching thus the performance of English in all the classes is usually at par or with little difference. |
|
||
| KiswahiliHapa katika shule ya upili ya Mutira Girls, Kiswahili ni moja awapo ya somo linaloenziwa na kuonewa fahari na wanafunzi. Wanafunzi wengi hutia fora katika somo hili na hivyo basi huchangia pakubwa katika kuinua na kuboresha hali ya Kiswahili kama somo. Wanafunzi wengi hujitolea kuwakilisha shule yetu katika warsha mbalimbali nchini zinazoandaliwa ili kuboresha somo hili na huibuka miongoni mwa wanafunzi bora. |
||